Job 28:26 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
alipoamua mvua inyeshe wapi, umeme na radi vipite wapi;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
alipofanya maagizo kwa ajili ya mvua na njia ya mwali wa radi,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hapo alipoiwekea mvua amri, Na njia kwa umeme wa radi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
alipoamua mvua inyeshe wapi, umeme na radi vipite wapi;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
alipofanya maagizo kwa ajili ya mvua na njia kwa ajili ya umeme wa radi,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
alipofanya maagizo kwa ajili ya mvua na njia kwa ajili ya umeme wa radi,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hapo alipoiwekea mvua amri, Na njia kwa umeme wa radi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
alipoamua mvua inyeshe wapi, umeme na radi vipite wapi;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
alipoyatengeneza maongozi ya mvua nayo njia ya umeme ulio wenye ngurumo:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hapo alipoiwekea mvua amri, Na njia kwa umeme wa radi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
alipoamua mvua inyeshe wapi, umeme na radi vipite wapi,