Job 28:27 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
hapo ndipo alipoiona hekima na kuitangaza, aliisimika na kuichunguza.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ndipo alipoitazama hekima na kuikadiria thamani yake, akaithibitisha na kuihakikisha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo alipoiona na kuitangaza; Aliithibitisha, naam, na kuichunguza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
hapo ndipo alipoiona hekima na kuitangaza, aliisimika na kuichunguza.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ndipo alipoitazama hekima na kuikadria thamani yake, akaithibitisha na kuihakikisha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ndipo alipoitazama hekima na kuikadiria thamani yake, akaithibitisha na kuihakikisha.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo alipoiona na kuitangaza; Aliithibitisha, naam, na kuichunguza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
hapo ndipo alipoiona hekima na kuitangaza, aliisimika na kuichunguza.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
hapo ndipo, alipouona, kisha akautangaza kwa watu, akaushikiza, akauchunguza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo alipoiona na kuitangaza; Aliithibitisha, naam, na kuichunguza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
pale ndipo alipoiona hekima na kuitangaza. Aliisimika na kuichunguza.