Job 28:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wachimba migodi huleta taa gizani, huchunguza vina vya ardhi na kuchimbua mawe yenye madini gizani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwanadamu hukomesha giza; huyatafuta hadi sehemu iliyo mbali, kwa ajili ya kuchimbua mawe yenye madini katika giza jeusi sana.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Binadamu hukomesha giza; Huyatafuta-tafuta hata mpaka ulio mbali, Mawe ya giza kuu, giza tupu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wachimba migodi huleta taa gizani, huchunguza vina vya ardhi na kuchimbua mawe yenye madini gizani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mwanadamu hukomesha giza, huyatafuta hadi sehemu iliyo mbali, kwa ajili ya kuchimbua mawe yenye madini katika giza jeusi sana.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mwanadamu hukomesha giza; huyatafuta hadi sehemu iliyo mbali, kwa ajili ya kuchimbua mawe yenye madini katika giza jeusi sana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Binadamu hukomesha giza; Huyatafutatafuta hata katika maeneo ya mbali, Mawe ya madini katika giza, giza kuu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wachimba migodi huleta taa gizani, huchunguza vina vya ardhi na kuchimbua mawe yenye madini gizani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nalo giza mtu analikatia mpaka, ayachunguze mawe yaliyoko kule kuliko na giza lenyewe kwenye mlango wa kuzimu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Binadamu hukomesha giza; Huyatafuta-tafuta hata mpaka ulio mbali, Mawe ya giza kuu, giza tupu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wachimba madini wanaleta taa katika giza, wanatafutatafuta mpaka chini zaidi ya udongo, na kuchimbua mawe yenye madini katika giza.