Job 28:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kutoka udongoni chakula hupatikana, lakini chini yake kila kitu huvurugwa kwa moto.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ardhi, ambako chakula hutoka, chini hugeuzwa kwa moto;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Katika ardhi ndimo kitokeamo chakula; Na chini yake hupinduliwa kama kwa moto.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kutoka udongoni chakula hupatikana, lakini chini yake kila kitu huvurugwa kwa moto.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ardhi, ambako chakula hutoka, chini hugeuzwa kwa moto,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ardhi, ambako chakula hutoka, chini hugeuzwa kwa moto;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Katika ardhi ndimo kitokeamo chakula; Na chini yake hupinduliwa kama kwa moto.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kutoka udongoni chakula hupatikana, lakini chini yake kila kitu huvurugwa kwa moto.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nchi itoayo chakula juu chini yake inafudikizwa kwa kuchimbuliwa na nguvu zilizo sawa nazo za moto.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Katika ardhi ndimo kitokeamo chakula; Na chini yake hupinduliwa kama kwa moto.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kutoka ndani ya udongo chakula kinapatikana, lakini chini yake kila kitu kinavurugwa kwa moto.