Job 28:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Katika mawe yake ndimo vilimo vito vya rangi ya samawati na udongo wake una vumbi la dhahabu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
yakuti samawi hutoka katika miamba yake, nalo vumbi lake lina vipande vya dhahabu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mawe yake ni mahali zipatikanapo yakuti; Nayo ina mchanga wa dhahabu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Katika mawe yake ndimo vilimo vito vya rangi ya samawati na udongo wake una vumbi la dhahabu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
yakuti samawi hutoka katika miamba yake, nalo vumbi lake lina vipande vya dhahabu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
yakuti samawi hutoka katika miamba yake, nalo vumbi lake lina vipande vya dhahabu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mawe yake ni mahali zipatikanapo yakuti; Nayo ina mchanga wa dhahabu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Katika mawe yake ndimo vilimo vito vya rangi ya samawati na udongo wake una vumbi la dhahabu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mahali pamojamoja huonekana mawe yenye almasi, pengine nayo madongo yenye dhahabu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mawe yake ni mahali zipatikanapo yakuti; Nayo ina mchanga wa dhahabu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika mawe yake kunatoka mawe ya yakuti, na udongo wake una mavumbi ya zahabu.