Job 28:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Njia za kwenda kwenye migodi hiyo hakuna ndege mla nyama azijuaye; na wala jicho la tai halijaiona.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hakuna ndege awindaye aijuaye njia ile iliyofichika, wala hakuna jicho la mwewe lililoiona.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Njia ile hapana ndege mkali aijuaye, Wala jicho la tai halijaiona;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Njia za kwenda kwenye migodi hiyo hakuna ndege mla nyama azijuaye; na wala jicho la tai halijaiona.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hakuna ndege awindaye aijuaye njia ile iliyofichika, wala hakuna jicho la kipanga lililoiona.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hakuna ndege awindaye aijuaye njia ile iliyofichika, wala hakuna jicho la mwewe lililoiona.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Njia ile hapana ndege mkali aijuaye, Wala jicho la tai halijaiona;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Njia za kwenda kwenye migodi hiyo hakuna ndege mla nyama azijuaye; na wala jicho la tai halijaiona.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye tai haijui njia hiyo, wala macho ya kozi hayajaiona kwa kuchungulia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Njia ile hapana ndege mkali aijuaye, Wala jicho la tai halijaiona;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Njia ya kwenda kule hakuna ndege mukula nyama anayeijua; na wala jicho la tai halijaiona.