Job 28:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wanyama waendao kwa madaha hawajazikanyaga wala simba hawajawahi kuzipitia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wanyama wa porini wanaotamba hawajawahi kupakanyaga, wala simba azungukaye huko.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wanyama wakali wajivunao hawajaikanyaga, Wala simba mkali hajaipita.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wanyama waendao kwa madaha hawajazikanyaga wala simba hawajawahi kuzipitia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wanyama wa porini wanaotamba hawajawahi kupakanyaga, wala simba azungakaye huko.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wanyama wa porini wanaotamba hawajawahi kupakanyaga, wala simba azungukaye huko.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wanyama wakali wajivunao hawajaikanyaga, Wala simba mkali hajaipita.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wanyama waendao kwa madaha hawajazikanyaga wala simba hawajawahi kuzipitia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nyama wakali wenye majivuno hawajaikanyaga, wala simba mwenyewe hajaishika.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wanyama wakali wajivunao hawajaikanyaga, Wala simba mkali hajaipita.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nyama wakali hawajaikanyaga wala simba mwenyewe hajapita ndani yake.