Job 28:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Binadamu huchimbua miamba migumu kabisa, huichimbua milima na kuiondolea mbali.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mikono ya mwanadamu hushambulia miamba ya gumegume, na kuiacha wazi mizizi ya milima.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Huunyoshea mwamba wa gumegume mkono wake; Huipindua milima hata misingi yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Binadamu huchimbua miamba migumu kabisa, huichimbua milima na kuiondolea mbali.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mikono ya mwanadamu hushambulia miamba migumu sana na kuiacha wazi mizizi ya milima.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mikono ya mwanadamu hushambulia miamba migumu sana, na kuiacha wazi mizizi ya milima.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Huunyoshea mwamba wa gumegume mkono wake; Huipindua milima hata misingi yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Binadamu huchimbua miamba migumu kabisa, huichimbua milima na kuiondolea mbali.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nayo mawe magumu yenyewe mtu huyavunja kwa mkono wake, hata milima anaifudikiza kwa kuichimbua toka misingini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Huunyoshea mwamba wa gumegume mkono wake; Huipindua milima hata misingi yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mwanadamu anachimbua mawe magumu kabisa, anachimbua milima mpaka kwenye misingi yake.