Job 29:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waliokuwa karibu kuangamia walinitakia baraka, niliwafanya wajane waone tena furaha moyoni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtu aliyekuwa karibu kufa alinibariki, nami niliufanya moyo wa mjane kuimba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Baraka yake yeye aliyekuwa karibu na kupotea ilinijia; Nikaufanya moyo wa mjane kuimba kwa furaha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waliokuwa karibu kuangamia walinitakia baraka, niliwafanya wajane waone tena furaha moyoni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mtu aliyekuwa karibu na kufa alinibariki, nami niliufanya moyo wa mjane kuimba.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mtu aliyekuwa karibu kufa alinibariki, nami niliufanya moyo wa mjane kuimba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Baraka yake yeye aliyekuwa karibu na kupotea ilinijia; Nikaufanya moyo wa mjane kuimba kwa furaha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waliokuwa karibu kuangamia walinitakia baraka, niliwafanya wajane waone tena furaha moyoni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mbaraka yake aliyeufikia mwangamizo ikanijia, nayo mioyo ya wajane nikaichangamsha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Baraka yake yeye aliyekuwa karibu na kupotea ilinijia; Nikaufanya moyo wa mjane kuimba kwa furaha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waliokuwa karibu kuangamia walinitakia baraka. Niliwafanya wajane waone tena furaha ndani ya moyo.