Job 29:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uadilifu ulikuwa vazi langu; kutenda haki kulikuwa kama joho na kilemba changu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Niliivaa haki kama vazi langu; uadilifu ulikuwa joho langu na kilemba changu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nalijivika haki, ikanifunika, Adili yangu ilikuwa kama joho na kilemba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uadilifu ulikuwa vazi langu; kutenda haki kulikuwa kama joho na kilemba changu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Niliivaa haki kama vazi langu, uadilifu ulikuwa joho langu na kilemba changu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Niliivaa haki kama vazi langu; uadilifu ulikuwa joho langu na kilemba changu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nilijivika haki, ikanifunika, Adili yangu ilikuwa kama joho na kilemba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uadilifu ulikuwa vazi langu; kutenda haki kulikuwa kama joho na kilemba changu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nilivaa wongofu, uniwie nguo, nayo maamuzi yangu yakawa kama kanzu na kilemba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nalijivika haki, ikanifunika, Adili yangu ilikuwa kama joho na kilemba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Haki ilikuwa ndiyo nguo yangu; kufuata sheria ya Mungu kulikuwa kama vile kanzu na taji langu.