Job 29:24 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walipokata tamaa niliwaonesha uso wa furaha, uchangamfu wa uso wangu wakaungangania.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walipokata tamaa niliwaonesha uso wa furaha; nuru ya uso wangu ilikuwa ya thamani kwao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Walipokata tamaa nikacheka nao; Na mwanga wa uso wangu hawakuuangusha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walipokata tamaa niliwaonesha uso wa furaha, uchangamfu wa uso wangu wakaung'ang'ania.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Walipokata tamaa niliwaonyesha uso wa furaha, nuru ya uso wangu ilikuwa ya thamani kwao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walipokata tamaa niliwaonyesha uso wa furaha; nuru ya uso wangu ilikuwa ya thamani kwao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Walipokata tamaa nikacheka nao; Na mwanga wa uso wangu hawakuuangusha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walipokata tamaa niliwaonesha uso wa furaha, uchangamfu wa uso wangu wakaungangania.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipotaka kukata tamaa, nikawachekea, hawakuweza kuuinamisha chini uso wangu, ulipoangaza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Walipokata tamaa nikacheka nao; Na mwanga wa uso wangu hawakuuangusha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walipokata tamaa, niliwaonyesha uso wa furaha; walishika muchangamuko wa uso wangu.