Job 29:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
wakati taa yake iliponiangazia kichwani, na kwa mwanga wake nikatembea gizani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wakati taa yake ilinimulika kichwani, na kwa mwanga wa Mungu nikapita katikati ya giza!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hapo taa yake ilipomulika juu yangu kichwani, Nami nilitembea gizani kwa njia ya mwanga wake;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
wakati taa yake iliponiangazia kichwani, na kwa mwanga wake nikatembea gizani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wakati taa yake iliponiangazia juu ya kichwa changu na kwa mwanga wake Mungu nikapita katikati ya giza!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wakati taa yake iliniangazia kichwani changu, na kwa mwanga wake Mungu nikapita katikati ya giza!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hapo taa yake ilipomulika juu yangu kichwani, Nami nilitembea gizani kwa njia ya mwanga wake;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
wakati taa yake iliponiangazia kichwani, na kwa mwanga wake nikatembea gizani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hapo taa yake ilimulika juu ya kichwa changu, kwa mwanga wake nikaenda hata gizani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hapo taa yake ilipomulika juu yangu kichwani, Nami nilitembea gizani kwa njia ya mwanga wake;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
wakati taa yake iliponiangazia juu ya kichwa, na kwa mwangaza wake nilitembea katika giza.