Job 29:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakati huo nilifikia ukamilifu wa maisha, wakati urafiki wa Mungu ulikaa nyumbani kwangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Natamani siku zile nilizokuwa katika ustawi wangu, urafiki wa Mungu wa ndani ulipoibariki nyumba yangu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kama nilivyokuwa katika siku zangu za kukomaa, Hapo siri ya Mungu ilipokuwa hemani mwangu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakati huo nilifikia ukamilifu wa maisha, wakati urafiki wa Mungu ulikaa nyumbani kwangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Aha! Katika siku zile nilizokuwa katika ustawi wangu, wakati urafiki wa Mungu wa ndani ulipoibariki nyumba yangu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Natamani siku zile nilizokuwa katika ustawi wangu, wakati urafiki wa Mungu wa ndani ulipoibariki nyumba yangu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kama nilivyokuwa katika siku zangu za kukomaa, Hapo siri ya Mungu ilipokuwa hemani mwangu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakati huo nilifikia ukamilifu wa maisha, wakati urafiki wa Mungu ulikaa nyumbani kwangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku zile nilikuwa mwenye nguvu za kiume, Mungu naye akakaa hemani mwangu kuwa mwenzangu wa mashauri.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kama nilivyokuwa katika siku zangu za kukomaa, Hapo siri ya Mungu ilipokuwa hemani mwangu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati ule nilifikia ukamilifu wa maisha, wakati urafiki wa Mungu ulikaa ndani ya nyumba yangu.