Job 29:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mungu Mwenye Nguvu alikuwa bado pamoja nami, na watoto wangu walinizunguka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wakati Mwenyezi bado alikuwa pamoja nami, nao watoto wangu wakawa wamenizunguka,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakati Mwenyezi alipokuwa akali pamoja nami, Nao watoto wangu walipokuwa wakinizunguka;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mungu Mwenye Nguvu alikuwa bado pamoja nami, na watoto wangu walinizunguka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wakati Mwenyezi alipokuwa pamoja nami, nao watoto wangu walipokuwa wamenizunguka,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wakati Mwenyezi alikuwa pamoja nami, nao watoto wangu walikuwa wamenizunguka,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakati Mwenyezi alipokuwa angali pamoja nami, Nao watoto wangu walipokuwa wakinizunguka;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mungu Mwenye Nguvu alikuwa bado pamoja nami, na watoto wangu walinizunguka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hapo Mwenyezi alikuwa pamoja na mimi, nao watoto wangu wakanizunguka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakati Mwenyezi alipokuwa akali pamoja nami, Nao watoto wangu walipokuwa wakinizunguka;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mungu Mwenye Uwezo alikuwa angali pamoja nami, na watoto wangu walinizunguka.