Job 29:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nyakati hizo niliogelea kwenye ufanisi, miamba ilinitiririshia vijito vya mafuta!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wakati njia yangu ilikuwa imenyeshewa siagi, nao mwamba ukanimiminia vijito vya mafuta ya zeituni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakati hatua zangu zilipokuwa zikioshwa kwa siagi, Nalo jabali liliponimiminia mito ya mafuta!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nyakati hizo niliogelea kwenye ufanisi, miamba ilinitiririshia vijito vya mafuta!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wakati njia yangu ilipokuwa imenyweshewa siagi, nao mwamba uliponimiminia vijito vya mafuta ya zeituni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wakati njia yangu ilikuwa imenyweshewa siagi, nao mwamba ukanimiminia vijito vya mafuta ya zeituni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakati hatua zangu zilipokuwa zikioshwa kwa siagi, Nalo jabali liliponimiminia mito ya mafuta!
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nyakati hizo niliogelea kwenye ufanisi, miamba ilinitiririshia vijito vya mafuta!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hapo miguu yangu ilioshwa kwa maziwa, nao mwamba uliochuruzika vijito vya mafuta ulikuwa kwangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakati hatua zangu zilipokuwa zikioshwa kwa siagi, Nalo jabali liliponimiminia mito ya mafuta!
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nyakati hizo niliogelea kwenye fanaka. Mawe yalinitiririshia vijito vya mafuta.