Job 29:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
vijana waliponiona walisimama kando, na wazee walisimama wima kwa heshima.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
vijana waliniona, wakakaa kando, nao wazee walioketi, wakasimama;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hao vijana waliniona wakajificha, Nao wazee wakaniondokea na kusimama;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
vijana waliponiona walisimama kando, na wazee walisimama wima kwa heshima.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
vijana waliniona wakakaa kando, nao wazee walioketi wakasimama,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
vijana waliniona wakakaa kando, nao wazee walioketi wakasimama;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hao vijana waliniona wakanipisha, Nao wazee wakasimama kwa heshima;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
vijana waliponiona walisimama kando, na wazee walisimama wima kwa heshima.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
vijana waliponiona wakaondoka kwenda pengine, nao wazee wakainuka, wasimame;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hao vijana waliniona wakajificha, Nao wazee wakaniondokea na kusimama;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
vijana waliponiona walisimama pembeni, na wazee walisimama wima kwa heshima.