Job 29:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakuu waliponiona waliacha kuzungumza waliweka mikono juu ya midomo kuwataka watu wakae kimya.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wakuu wakaacha kuzungumza, na kuziba vinywa vyao kwa mikono yao;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakuu wakanyamaa wasinene, Na kuweka mikono yao vinywani mwao;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakuu waliponiona waliacha kuzungumza waliweka mikono juu ya midomo kuwataka watu wakae kimya.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wakuu wakaacha kuzungumza na kuziba vinywa vyao kwa mikono yao,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wakuu wakaacha kuzungumza na kuziba vinywa vyao kwa mikono yao;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakuu wakanyamaza wasinene, Na kuweka mikono yao vinywani mwao;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakuu waliponiona waliacha kuzungumza waliweka mikono juu ya midomo kuwataka watu wakae kimya.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakuu wakayakomesha maneno yao na kuviweka viganja vinywani mwao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakuu wakanyamaa wasinene, Na kuweka mikono yao vinywani mwao;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakubwa waliponiona waliacha kuzungumuza, waliweka kidole juu ya midomo kuwaomba watu wakae kimya.