Job 3:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa nini mama yangu alinizaa? Kwa nini nikapata kunyonya?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa nini pakawa na magoti ya kunipokea na matiti ili nipate kunyonyeshwa?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mbona hayo magoti kunipokea? Au hayo maziwa, hata nikanyonya?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa nini mama yangu alinizaa? Kwa nini nikapata kunyonya?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa nini pakawa na magoti ya kunipokea na matiti ili nipate kunyonyeshwa?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa nini pakawa na magoti ya kunipokea na matiti ili nipate kunyonyeshwa?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mbona pawe na magoti ya kunipokea? Au hayo maziwa, hata nikanyonya?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa nini mama yangu alinizaa? Kwa nini nikapata kunyonya?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mbona nilipokelewa na kuwekwa magotini? Mbona nikapata maziwa ya kuyanyonya?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mbona hayo magoti kunipokea? Au hayo maziwa, hata nikanyonya?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa nini mama yangu alinizaa? Kwa nini nilipata kunyonya?