Job 3:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana ningekuwa nimezikwa, kimya; ningekuwa nimelazwa na kupumzika,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana sasa ningekuwa nimepumzika kwa amani. Ningekuwa nimelala na kupumzika
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana hapo ningelala na kutulia; Ningelala usingizi; na kupata kupumzika;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana ningekuwa nimezikwa, kimya; ningekuwa nimelazwa na kupumzika,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana sasa ningekuwa nimepumzika kwa amani, ningekuwa nimelala na kupumzika
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana sasa ningekuwa nimepumzika kwa amani. Ningekuwa nimelala na kupumzika
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana hapo ningelala na kutulia; Ningelala usingizi; na kupata kupumzika;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana ningekuwa nimezikwa, kimya; ningekuwa nimelazwa na kupumzika,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama sivyo, ningelala sasa na kutulia, ningelala usingizi na kujipatia mapumziko;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana hapo ningelala na kutulia; Ningelala usingizi; na kupata kupumzika;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maana ningekuwa nimezikwa, kimya; ningelala na kupumzika