Job 3:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
pamoja na wafalme na watawala wa dunia, waliojijengea upya magofu yao;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
pamoja na wafalme na washauri wa dunia, waliojijengea mahali ambapo sasa ni magofu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Pamoja na wafalme na washauri wa dunia, Hao waliojijengea maganjoni;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
pamoja na wafalme na watawala wa dunia, waliojijengea upya magofu yao;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
pamoja na wafalme na washauri wa dunia, waliojijengea kwa ajili yao mahali ambapo sasa ni magofu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
pamoja na wafalme na washauri wa dunia, waliojijengea mahali ambapo sasa ni magofu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Pamoja na wafalme na washauri wa dunia, Hao waliojijengea maganjoni;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
pamoja na wafalme na watawala wa dunia, waliojijengea upya magofu yao;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ningekuwa pamoja na wafalme na wenye hukumu wa nchi waliojijengea machuguu makubwa ya kuzikiwa humo;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Pamoja na wafalme na washauri wa dunia, Hao waliojijengea maganjoni;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
pamoja na wafalme na watawala wa dunia waliojijengea upya miji kutoka mabomoko,