Job 3:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Huko wafungwa hustarehe pamoja, hawaisikii kamwe sauti ya mnyapara.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wafungwa nao hufurahia utulivu wao, hawasikii tena sauti ya kukemea ya kiongozi wa watumwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Huko wafungwa waona raha pamoja; Hawaisikii sauti yake msimamizi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Huko wafungwa hustarehe pamoja, hawaisikii kamwe sauti ya mnyapara.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wafungwa nao hufurahia utulivu wao, hawasikii tena sauti ya kukemea ya kiongozi wa watumwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wafungwa nao hufurahia utulivu wao, hawasikii tena sauti ya kukemea ya kiongozi wa watumwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Huko wafungwa wanastarehe pamoja; Hawaisikii sauti yake msimamizi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Huko wafungwa hustarehe pamoja, hawaisikii kamwe sauti ya mnyapara.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Huko wafungwa wote pamoja hutengemana, hawasikii tena sauti ya msimamizi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Huko wafungwa waona raha pamoja; Hawaisikii sauti yake msimamizi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kule wafungwa wanastarehe pamoja, hawasikii hata kidogo sauti ya wasimamizi.