Job 3:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakubwa na wadogo wako huko, nao watumwa wamepata uhuru mbali na bwana zao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wadogo kwa wakubwa wamo humo, na mtumwa ameachiwa huru kutoka kwa bwana wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakuu na wadogo wako huko; Mtumishi yu huru kwa bwana wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakubwa na wadogo wako huko, nao watumwa wamepata uhuru mbali na bwana zao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wadogo na wakubwa wamo humo, na mtumwa ameachiwa huru kutoka kwa bwana wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wadogo na wakubwa wamo humo, na mtumwa ameachiwa huru kutoka kwa bwana wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakuu na wadogo wako huko; Mtumishi yuko huru kwa bwana wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakubwa na wadogo wako huko, nao watumwa wamepata uhuru mbali na bwana zao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Huko wadogo na wakubwa ni wamoja, nao watumwa wamekwisha kombolewa, wasiwe mali za mabwana zao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakuu na wadogo wako huko; Mtumishi yu huru kwa bwana wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakubwa na wadogo wako kule, nao watumwa wamepata uhuru mbali na bwana zao.