Job 3:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ya nini kumjalia nuru yule aliye taabuni; na uhai yule aliye na huzuni moyoni?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Mbona nuru inawaangazia wale walio taabuni, na hao wenye uchungu kupewa uhai,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mbona yeye aliye mashakani kupewa mwanga, Na hao wenye uchungu rohoni kupewa uhai;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ya nini kumjalia nuru yule aliye taabuni; na uhai yule aliye na huzuni moyoni?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Mbona nuru inawaangazia wale walio taabuni na hao wenye uchungu kupewa uhai?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Mbona nuru inawaangazia wale walio taabuni, na hao wenye uchungu kupewa uhai,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mbona yeye aliye mashakani kupewa mwanga, Na hao wenye uchungu rohoni kupewa uhai;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ya nini kumjalia nuru yule aliye taabuni; na uhai yule aliye na huzuni moyoni?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sababu gani anampa msumbufu kuona mwanga? Sababu gani anampa kuwapo mwenye uchungu rohoni?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mbona yeye aliye mashakani kupewa mwanga, Na hao wenye uchungu rohoni kupewa uhai;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa nini kumujalia mwangaza na uzima yule anayekuwa katika taabu, anayekuwa na huzuni ndani ya moyo,