Job 3:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtu atamaniye kifo lakini hafi; hutafuta kifo kuliko hazina iliyofichika.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wale wanaotamani kifo ambacho hakiji, wale wanaotafuta kufa zaidi ya kutafuta hazina iliyofichwa,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ambao wangojea mauti, lakini hawayapati; Na kuyachimbulia zaidi ya kutafuta hazina iliyostirika;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtu atamaniye kifo lakini hafi; hutafuta kifo kuliko hazina iliyofichika.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa nini wale wanaotamani kufa hilo haliji, wale watafutao kufa zaidi ya kutafuta hazina iliyofichwa,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wale wanaotamani kifo ambacho hakiji, wale watafutao kufa zaidi ya kutafuta hazina iliyofichwa,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ambao wangojea mauti, lakini hawayapati; Na kuyachimbulia kuliko watafutavyo hazina iliyostirika;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtu atamaniye kifo lakini hafi; hutafuta kifo kuliko hazina iliyofichika.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndio wanaokingojea kifo, lakini hawakipati; kuliko vilimbiko vilivyofichwa hutaka kukizua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ambao wangojea mauti, lakini hawayapati; Na kuyachimbulia zaidi ya kutafuta hazina iliyostirika;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
anayetamani kifo lakini hakufi, anayetafuta kifo kuliko hazina iliyofichwa.