Job 3:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtu kama huyo atashangilia mno na kufurahi, atafurahi atakapokufa na kuzikwa!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ambao hujawa na furaha, na hushangilia wanapofika kaburini?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ambao wafurahi mno, Na kushangilia watakapoliona kaburi?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtu kama huyo atashangilia mno na kufurahi, atafurahi atakapokufa na kuzikwa!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ambao hujawa na furaha na shangwe wafikapo kaburini?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ambao hujawa na furaha, na hushangilia wafikapo kaburini?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ambao wafurahi mno, Na kushangilia watakapoliona kaburi?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtu kama huyo atashangilia mno na kufurahi, atafurahi atakapokufa na kuzikwa!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hao wangefurahi na kushangilia, wangechangamka kweli, kama wangeona kaburi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ambao wafurahi mno, Na kushangilia watakapoliona kaburi?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutu kama yule atashangilia sana na kufurahi atakapokufa na kuzikwa!