Job 3:23 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ya nini kumjalia uhai mtu ambaye njia zake zimefungwa, mtu ambaye Mungu amemwekea kizuizi?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa nini uhai hupewa mtu ambaye njia yake imefichika, ambaye Mungu amemzingira?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa nini mtu aliyezibiwa njia kupewa mwanga, Ambaye Mungu amemzingira kwa ukingo?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ya nini kumjalia uhai mtu ambaye njia zake zimefungwa, mtu ambaye Mungu amemwekea kizuizi?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa nini uhai hupewa mtu ambaye njia yake imefichika, ambaye Mungu amemzungushia boma?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa nini uhai hupewa mtu ambaye njia yake imefichika, ambaye Mungu amemzungushia boma?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa nini mtu aliyezibiwa njia kupewa mwanga, Ambaye Mungu amemzingira kwa wigo?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ya nini kumjalia uhai mtu ambaye njia zake zimefungwa, mtu ambaye Mungu amemwekea kizuizi?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hao ni watu waliofichwa maana ya njia zao, wao ndio, Mungu aliowazibia mizungu yote pia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa nini mtu aliyezibiwa njia kupewa mwanga, Ambaye Mungu amemzingira kwa ukingo?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa nini kumujalia uzima mutu ambaye njia zake zimefungwa, mutu ambaye Mungu amemwekea kizuizi?