Job 3:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa maana kusononeka ndio mkate wangu, kupiga kite kwangu kunatiririka mithili ya maji.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana kulia kwangu kwa uchungu kwanijia badala ya chakula; kusononeka kwangu kunamwagika kama maji.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwani kuugua kwangu kwaja kana kwamba ni chakula, Na kunguruma kwangu kumemiminika kama maji.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa maana kusononeka ndio mkate wangu, kupiga kite kwangu kunatiririka mithili ya maji.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana kulia kwangu kwa uchungu kwanijia badala ya chakula; mlio wangu wa kusononeka unamwagika kama maji.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana kulia kwangu kwa uchungu kwanijia badala ya chakula; kusononeka kwangu kunamwagika kama maji.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwani kuugua kwangu kwaja kana kwamba ni chakula, Na kunguruma kwangu kumemiminika kama maji.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa maana kusononeka ndio mkate wangu, kupiga kite kwangu kunatiririka mithili ya maji.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sharti kwanza nipige kite, ninapotaka kula, navyo vilio vyangu humwagika kama maji.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwani kuugua kwangu kwaja kana kwamba ni chakula, Na kunguruma kwangu kumemiminika kama maji.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kuugua ndicho chakula changu. Malalamiko yangu yanatiririka kama maji.