Job 3:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Siku hiyo na iwe giza! Mungu juu asijishughulishe nayo! Wala nuru yoyote isiiangaze!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Siku ile na iwe giza; Mungu juu na asiiangalie; nayo nuru isiiangazie.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Siku hiyo na iwe giza; Mungu asiiangalie toka juu, Wala mwanga usiiangazie.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Siku hiyo na iwe giza! Mungu juu asijishughulishe nayo! Wala nuru yoyote isiiangaze!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Siku ile na iwe giza, Mungu juu na asiiangalie, nayo nuru isiiangazie.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Siku ile na iwe giza; Mungu juu na asiiangalie; nayo nuru isiiangazie.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Siku hiyo na iwe giza; Mungu asiiangalie toka juu, Wala mwanga usiiangazie.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Siku hiyo na iwe giza! Mungu juu asijishughulishe nayo! Wala nuru yoyote isiiangaze!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku hiyo ingalifaa, kama ingalikuwa yenye giza, kama Mungu wa huko juu asingaliitafuta, kama mchana nao usingaliiangaza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Siku hiyo na iwe giza; Mungu asiiangalie toka juu, Wala mwanga usiiangazie.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku ile ikuwe giza! Na kutoka juu Mungu asijishugulishe nayo, wala mwangaza wowote usiiangaze!