Job 3:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mauzauza na giza nene yaikumbe, mawingu mazito yaifunike. Giza la mchana liitishe!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Giza na kivuli kikuu viikalie tena; wingu na likae juu yake; weusi na uifunike nuru yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ishikwe na giza, giza tupu, kuwa yake; Wingu na likae juu yake; Chote kiifanyacho siku kuwa giza na kiitishe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mauzauza na giza nene yaikumbe, mawingu mazito yaifunike. Giza la mchana liitishe!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Giza na kivuli kikuu kiikalie tena, wingu na likae juu yake, weusi na uifunike nuru yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Giza na kivuli kikuu kiikalie tena; wingu na likae juu yake; weusi na uifunike nuru yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ishikwe na giza, giza tupu, kuwa yake; Wingu na likae juu yake; Chote kiifanyacho siku kuwa giza na kiitishe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mauzauza na giza nene yaikumbe, mawingu mazito yaifunike. Giza la mchana liitishe!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Giza lenye kivuli kiuacho na liitake kuwa lake, mawingu yenye weusi na yaikalie na kuifunika, yageuzayo mchana kuwa giza na yaipatie vituko.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ishikwe na giza, giza tupu, kuwa yake; Wingu na likae juu yake; Chote kiifanyacho siku kuwa giza na kiitishe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Itawaliwe na giza kubwa sana, mawingu mazito yaifunike. Giza la muchana liitishe!