Job 3:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Usiku huo giza nene liukumbe! Usihesabiwe katika siku za mwaka, wala usitiwe katika idadi ya siku za mwezi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Usiku ule na ushikwe na giza nene; usihesabiwe katika siku za mwaka, wala usihesabiwe katika siku za mwezi wowote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena usiku huo, na ushikwe na giza kuu; Usihesabiwe katika siku za mwaka; Wala kutiwa katika hesabu ya miezi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Usiku huo giza nene liukumbe! Usihesabiwe katika siku za mwaka, wala usitiwe katika idadi ya siku za mwezi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Usiku ule na ushikwe na giza kuu, usihesabiwe katika siku za mwaka, wala usihesabiwe katika siku za mwezi wo wote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Usiku ule na ushikwe na giza kuu; usihesabiwe katika siku za mwaka, wala usihesabiwe katika siku za mwezi wowote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena usiku huo, na ushikwe na giza kuu; Usihesabiwe katika siku za mwaka; Wala kutiwa katika hesabu ya miezi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Usiku huo giza nene liukumbe! Usihesabiwe katika siku za mwaka, wala usitiwe katika idadi ya siku za mwezi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama giza tupu lingaliupokonya, usiku ule nao ungalifaa, kama usingalihesabiwa katika siku za mwaka huo, wala kama usingaliingia katika hesabu ya miezi!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena usiku huo, na ushikwe na giza kuu; Usihesabiwe katika siku za mwaka; Wala kutiwa katika hesabu ya miezi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Usiku ule giza kubwa liufunike! Usihesabiwe katika siku za mwaka, usitiwe katika hesabu ya siku za mwezi.