Job 3:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walozi wa siku waulaani, watu stadi wa kuligutua dude Lewiyathani waulaani!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wale wanaozilaani siku na wailaani hiyo siku, wale walio tayari kumwamsha Lewiathani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na waulaani hao waulaanio mchana, Hao walio tayari kumwamsha huyo lewiathani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walozi wa siku waulaani, watu stadi wa kuligutua dude Lewiyathani waulaani!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wale wazilaanio siku, wailaani hiyo siku, wale walio tayari kumwamsha Lewiathani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wale wazilaanio siku wailaani hiyo siku, wale walio tayari kumwamsha Lewiathani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na waulaani hao waulaanio mchana, Hao walio tayari kumwamsha huyo Lewiathani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walozi wa siku waulaani, watu stadi wa kuligutua dude Lewiyathani waulaani!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wajuao kuziloga siku sharti wauapize, ndio wao waliojipa mioyo kumchochea naye nondo wa baharini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na waulaani hao waulaanio mchana, Hao walio tayari kumwamsha huyo lewiathani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ulaaniwe na wale wanaolaani siku, wale wafundi wanaoamusha Leviatani.