Job 3:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nyota zake za pambazuko zififie, utamani kupata mwanga, lakini usipate, wala usione nuru ya pambazuko.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nyota zake za alfajiri na ziwe giza; nao ungojee mwanga bila mafanikio, wala usiione miali ya mapambazuko,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nyota za mapambazuko yake na ziwe giza; Na utafute mwanga lakini usiupate; Wala usiyaone makope ya asubuhi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nyota zake za pambazuko zififie, utamani kupata mwanga, lakini usipate, wala usione nuru ya pambazuko.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nyota zake za alfajiri na ziwe giza, nao ungojee mwanga bila mafanikio, wala usiuone muonzi wa kwanza wa mapambazuko,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nyota zake za alfajiri na ziwe giza; nao ungojee mwanga bila mafanikio, wala usiuone mwonzi wa kwanza wa mapambazuko,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nyota za mapambazuko yake na ziwe giza; Na utafute mwanga lakini usiupate; Wala usiyaone mapambazuko;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nyota zake za pambazuko zififie, utamani kupata mwanga, lakini usipate, wala usione nuru ya pambazuko.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nyota zake za mapambazuko na ziguiwe na giza, usione mwanga ukiungojea, wala vishale vya mapambazuko usivione,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nyota za mapambazuko yake na ziwe giza; Na utafute mwanga lakini usiupate; Wala usiyaone makope ya asubuhi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nyota zake za mapambazuko zififie, utamani kupata mwangaza, lakini usipate, wala usione mwangaza wa mapambazuko.