Job 30:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Genge la watu lainuka kunishtaki likitafuta kuniangusha kwa kunitegea. Linanishambulia ili niangamie.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kuume kwangu kundi linashambulia; wao huitegea miguu yangu tanzi, na kunizingira.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa mkono wangu wa kuume huinuka kundi; Huisukuma miguu yangu kando, Na kunipandishia njia zao za uharibifu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Genge la watu lainuka kunishtaki likitafuta kuniangusha kwa kunitegea. Linanishambulia ili niangamie.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kuume kwangu kundi linashambulia; huitegea miguu yangu tanzi, hunizunguka kwa vita wakiruka huko na huko kwa ukali dhidi yangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kuume kwangu kundi linashambulia; wao huitegea miguu yangu tanzi, na kunizingira.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa mkono wangu wa kulia huinuka kundi; Huisukuma miguu yangu kando, Na kunipandishia njia zao za uharibifu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Genge la watu lainuka kunishtaki likitafuta kuniangusha kwa kunitegea. Linanishambulia ili niangamie.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hawa watu waovu hujisimamisha kuumeni kwangu, waisukume miguu yangu, iondoke kwao, nazo njia zao zilizowaangamiza hunitwika mimi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa mkono wangu wa kuume huinuka kundi; Huisukuma miguu yangu kando, Na kunipandishia njia zao za uharibifu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kundi la watu linasimama kwa kunishitaki, likitafuta kuniangusha kwa kunitegea. Linanishambulia kusudi niangamie.