Job 30:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mungu amenikaba kwa mavazi yangu, amenibana kama ukosi wa shati langu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa uwezo wake mkuu Mungu huwa kwangu kama nguo; hushikamana nami kama ukosi wa vazi langu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa ugonjwa wangu kuwa na nguvu nyingi Mavazi yangu yameharibika; Hunikaza kama shingo ya kanzu yangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mungu amenikaba kwa mavazi yangu, amenibana kama ukosi wa shati langu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa uwezo wake mkuu Mungu huwa kwangu kama nguo, hushikamana nami kama ukosi wa vazi langu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa uwezo wake mkuu Mungu huwa kwangu kama nguo; hushikamana nami kama ukosi wa vazi langu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa ugonjwa wangu kuwa na nguvu nyingi Mavazi yangu yameharibika; Hunikaza kama shingo ya kanzu yangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mungu amenikaba kwa mavazi yangu, amenibana kama ukosi wa shati langu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hizo nguvu nyingi zikaligeuza vazi langu, zikanikaza kama ukosi wa kanzu yangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa ugonjwa wangu kuwa na nguvu nyingi Mavazi yangu yameharibika; Hunikaza kama shingo ya kanzu yangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mungu amenishika kwa nguo zangu, amenibana kama shingo ya kanzu yangu.