Job 30:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nakulilia, lakini hunijibu, nasimama kuomba lakini hunisikilizi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Ee Mwenyezi Mungu, ninakulilia wewe lakini hunijibu; ninasimama, nawe unanitazama tu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nakulilia wewe, wala huniitikii; Nasimama, nawe wanitazama tu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nakulilia, lakini hunijibu, nasimama kuomba lakini hunisikilizi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Ee BWANA, ninakulilia wewe lakini hunijibu, ninasimama, nawe unanitazama tu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Ee bwana, ninakulilia wewe lakini hunijibu; ninasimama, nawe unanitazama tu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nakulilia wewe, wala huniitikii; Nasimama, nawe wanitazama tu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nakulilia, lakini hunijibu, nasimama kuomba lakini hunisikilizi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nikikulilia, wewe, hunijibu; hata nikisimama, unanitazama tu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nakulilia wewe, wala huniitikii; Nasimama, nawe wanitazama tu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninakulilia, lakini haunijibu, ninasimama kuomba lakini haunisikilizi.