Job 30:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wanitupa katika upepo na kunipeperusha; wanisukasuka huku na huko katika dhoruba kali.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Unaninyakua na kunipeperusha kwa upepo; umenirusharusha kwenye dhoruba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Waniinua juu hata upeponi, na kunipandisha juu yake; Nawe waniyeyusha katika dhoruba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wanitupa katika upepo na kunipeperusha; wanisukasuka huku na huko katika dhoruba kali.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Unaninyakua na kunipeperusha kwa upepo, umenirusha huko na huko kwenye dhoruba kali.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Unaninyakua na kunipeperusha kwa upepo; umenirusha huku na huko kwenye dhoruba kali.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Waniinua juu hata upeponi, na kunipandisha juu yake; Nawe waniyeyusha katika dhoruba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wanitupa katika upepo na kunipeperusha; wanisukasuka huku na huko katika dhoruba kali.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ukaniinua na kuniweka juu ya upepo, unipeleke, ukaniyeyusha kwa hizo nguvu za chamchela.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Waniinua juu hata upeponi, na kunipandisha juu yake; Nawe waniyeyusha katika dhoruba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Unanitupa katika upepo na kunipeperusha; unanitupatupa huku na kule katika zoruba kali.