Job 30:28 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Napitapita nikiomboleza, kwangu hamna jua. Nasimama hadharani kuomba msaada.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ninazunguka nikiwa nimeungua, lakini si kwa jua; ninasimama katika kusanyiko nikiomba msaada.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naenda nikiomboleza pasipo jua; Nasimama katika mkutano, na kuulilia msaada.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Napitapita nikiomboleza, kwangu hamna jua. nasimama hadharani kuomba msaada.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ninazunguka nikiwa nimeungua, lakini si kwa jua, ninasimama katika kusanyiko nikiomba msaada.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ninazunguka nikiwa nimeungua, lakini si kwa jua; ninasimama katika kusanyiko nikiomba msaada.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naenda nikiomboleza pasipo jua; Nasimama katika mkutano, na kuulilia msaada.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Napitapita nikiomboleza, kwangu hamna jua. Nasimama hadharani kuomba msaada.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nikajiendea na msiba wangu pasipo kuona jua, nikaondoka penye mkutano, nipate kulia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naenda nikiomboleza pasipo jua; Nasimama katika mkutano, na kuulilia msaada.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninapitapita nikiomboleza. Kwangu hakuna jua. Ninasimama katika makutano kuomba musaada.