Job 30:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Katika ufukara na njaa kali walitafutatafuta cha kutafuna nyikani sehemu tupu zisizokuwa na chakula.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakiwa wamekonda kutokana na kupungukiwa na kwa njaa, walizurura usiku katika nchi kame iliyo ukiwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wamekonda kwa uhitaji na njaa; Huguguna nchi kavu, penye giza la ukiwa na uharibifu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Katika ufukara na njaa kali walitafutatafuta cha kutafuna nyikani sehemu tupu zisizokuwa na chakula.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kukonda kwao kutokana na kupungukiwa na kwa njaa, walizungukazunguka usiku katika nchi kame iliyo ukiwa, isiyolimika wala kukaliwa na watu
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakiwa wamekonda kutokana na kupungukiwa na kwa njaa, walizurura usiku katika nchi kame iliyo ukiwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wamekonda kwa uhitaji na njaa; Huguguna nchi kavu, penye giza la ukiwa na uharibifu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Katika ufukara na njaa kali walitafutatafuta cha kutafuna nyikani sehemu tupu zisizokuwa na chakula.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa kuwa ukosefu na njaa zilikuwa ziliwagofua, huguguna nayo mazao ya nyika iliyo kama jangwa jeusi, iliyo tupu kabisa pasipo cho chote cha kulisha watu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wamekonda kwa uhitaji na njaa; Huguguna nchi kavu, penye giza la ukiwa na uharibifu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika ukosefu na njaa kali walitafutatafuta kitu cha kutafuna katika jangwa, sehemu tupu zisizokuwa na chakula.