Job 30:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walichuma mimea jangwani na majani msituni wakala, walikula hata mizizi ya mti wa mfagio.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika vichaka walikusanya mimea ya chumvi, nacho chakula chao kilikuwa mizizi ya mti wa mfagio.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hung'oa mboga ya chumvi kwenye kichaka; Na mizizi ya mretemu ni chakula chao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walichuma mimea jangwani na majani msituni wakala, walikula hata mizizi ya mti wa mfagio.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika vichaka walikusanya mimea yenye ladha ya chumvi, nacho chakula chao kilikuwa mizizi ya mti wa mfagio.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika vichaka walikusanya mimea ya chumvi, nacho chakula chao kilikuwa mizizi ya mti wa mfagio.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hung'oa mboga ya chumvi kwenye kichaka; Na mizizi ya mretemu ni chakula chao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walichuma mimea jangwani na majani msituni wakala, walikula hata mizizi ya mti wa mfagio.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo huchuma vijanijani vyenye chumvi panapo na vichakachaka, nayo mizizi ya mifagio ni chakula chao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hung’oa mboga ya chumvi kwenye kichaka; Na mizizi ya mretemu ni chakula chao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walichuma mimea katika jangwa na majani katika pori wakakula, walikula hata mizizi ya muti wa vifagio.