Job 31:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Nimejifunga rasmi mimi mwenyewe, macho yangu yasimtazame msichana kwa tamaa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Nimefanya agano na macho yangu yasimtazame msichana kwa kumtamani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nilifanya agano na macho yangu; Basi nawezaje kumwangalia msichana?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Nimejifunga rasmi mimi mwenyewe, macho yangu yasimtazame msichana kwa tamaa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Nimefanya agano na macho yangu yasimtazame msichana kwa kumtamani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Nimefanya agano na macho yangu yasimtazame msichana kwa kumtamani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nilifanya agano na macho yangu; Basi ningewezaje kumwangalia msichana?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Nimejifunga rasmi mimi mwenyewe, macho yangu yasimtazame msichana kwa tamaa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nilifanya agano na macho yangu, kisha ningewezaje kumtazama mwanamwali kwa kumtamani?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nilifanya agano na macho yangu; Basi nawezaje kumwangalia msichana?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nimejizuiza kabisa mimi mwenyewe, macho yangu yasimwangalie binti kwa tamaa.