Job 31:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kosa langu lingekuwa kama moto, wa kuniteketeza na kuangamiza, na kuchoma kabisa mapato yangu yote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ni moto uwakao kwa Uharibifu; ungekuwa umeng’oa mavuno yangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa kuwa ni moto uteketezao hata Uharibifu, Nao ungeyang'oa maongeo yangu yote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kosa langu lingekuwa kama moto, wa kuniteketeza na kuangamiza, na kuchoma kabisa mapato yangu yote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ni moto uwakao kwa Uharibifu; ungekuwa umeng'oa mavuno yangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ni moto uwakao kwa Uharibifu; ungekuwa umeng’oa mavuno yangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa kuwa ni moto uteketezao hata Uharibifu, Nao ungeyang'oa mavuno yangu yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kosa langu lingekuwa kama moto, wa kuniteketeza na kuangamiza, na kuchoma kabisa mapato yangu yote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivyo ningalijipatia moto wa kunila hata kuzimuni, nao ungaliyaangamiza yote pia, niliyoyapata.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa kuwa ni moto uteketezao hata Uharibifu, Nao ungeyang’oa maongeo yangu yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kosa langu lingekuwa kama vile moto wa kuniteketeza na kuangamiza, na kuchoma kabisa mapato yangu yote.