Job 31:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama nimekataa kesi ya mtumishi wangu wa kiume au wa kike, waliponiletea malalamiko yao,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Kama ningewanyima haki watumishi wangu wanaume au vijakazi wangu, walipokuwa na manung’uniko dhidi yangu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kama nimeidharau daawa ya mtumishi wangu, au ya kijakazi changu, Waliposhindana nami;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama nimekataa kesi ya mtumishi wangu wa kiume au wa kike, waliponiletea malalamiko yao,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Kama ningewanyima haki watumishi wangu wanaume au vijakazi wangu, walipokuwa na nung'uniko dhidi yangu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Kama ningewanyima haki watumishi wangu wanaume au vijakazi wangu, walipokuwa na manung’uniko dhidi yangu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kama nimeidharau kesi ya mtumishi wangu, au ya kijakazi changu, Waliposhindana nami;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama nimekataa kesi ya mtumishi wangu wa kiume au wa kike, waliponiletea malalamiko yao,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama nilikataa shauri la mtumishi wangu wa kiume au wa kike, walipotaka kushindana na mimi mwenyewe,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kama nimeidharau daawa ya mtumishi wangu, au ya kijakazi changu, Waliposhindana nami;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama nimekataa maneno ya mutumishi au mujakazi wangu, waliponiletea malalamiko yao,