Job 31:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
nitafanya nini basi Mungu atakaponikabili? Je, akinichunguza nitamjibu nini?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
nitafanya nini Mungu atakaponikabili? Nitamjibu nini nitakapoitwa kujitetea?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Mungu atakapoinuka nitafanya nini? Naye atakapozuru, nitamjibuje?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
nitafanya nini basi Mungu atakaponikabili? Je, akinichunguza nitamjibu nini?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
nitafanya nini Mungu atakaponikabili? Nitamjibu nini nitakapoitwa kutoa hesabu?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
nitafanya nini Mungu atakaponikabili? Nitamjibu nini nitakapoitwa kutoa hesabu?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Mungu atakapoinuka nitafanya nini? Naye atakapozuru, nitamjibuje?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
nitafanya nini basi Mungu atakaponikabili? Je, akinichunguza nitamjibu nini?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ningefanya nini, Mungu akininukia? au ningemjibu nini, akiyakagua?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Mungu atakapoinuka nitafanya nini? Naye atakapozuru, nitamjibuje?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
nitafanya nini basi Mungu atakaposimama mbele yangu? Akinichunguza, nitamujibu nini?