Job 31:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana Mungu ndiye aliyeniumba mimi na mtumishi wangu; yeye ndiye aliyetuumba sisi wote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, yeye aliyeniumba tumboni mwa mama yangu, siye aliyewaumba? Je, si ni yeye huyo mmoja aliyetuumba sote ndani ya mama zetu?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Huyo aliyenifanya mimi ndani ya tumbo, siye aliyemfanya na yeye? Si yeye mmoja aliyetufinyanga tumboni?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana Mungu ndiye aliyeniumba mimi na mtumishi wangu; yeye ndiye aliyetuumba sisi wote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, yeye aliyeniumba tumboni mwa mama yangu, si ndiye aliyewaumba? Je, si yeye huyo mmoja aliyetuumba sote ndani ya mama zetu?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, yeye aliyeniumba tumboni mwa mama yangu, si ndiye aliwaumba? Je, si ni yeye huyo mmoja aliyetuumba sote ndani ya mama zetu?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Huyo aliyenifanya mimi ndani ya tumbo, siye aliyemfanya na yeye? Si yeye mmoja aliyetufinyanga tumboni?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana Mungu ndiye aliyeniumba mimi na mtumishi wangu; yeye ndiye aliyetuumba sisi wote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Je? Aliyenitengeneza tumboni mwa mama hakumtengeneza naye? Siye yeye mmoja aliyetuumba kuwa mimba?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Huyo aliyenifanya mimi ndani ya tumbo, siye aliyemfanya na yeye? Si yeye mmoja aliyetufinyanga tumboni?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maana Mungu ndiye aliyeniumba mimi na mutumishi wangu; yeye ndiye aliyetuumba sisi wote.