Job 31:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Je, nimepata kumnyima maskini mahitaji yake au kuwafanya wajane watumaini bure?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Ikiwa nimewanyima maskini haja zao, au kuyaacha macho ya wajane yadhoofike,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikiwa nimewanyima maskini haja zao, Au kama nimeyatia kiwi macho ya mwanamke mjane;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Je, nimepata kumnyima maskini mahitaji yake au kuwafanya wajane watumaini bure?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Ikiwa nimewanyima maskini haja zao, au kuyaacha macho ya wajane yadhoofike,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Ikiwa nimewanyima maskini haja zao, au kuyaacha macho ya wajane yadhoofike,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikiwa nimewanyima maskini haja zao, Au kama nimeyatia kiwi macho ya mwanamke mjane;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Je, nimepata kumnyima maskini mahitaji yake au kuwafanya wajane watumaini bure?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wanyonge niliwanyima walichokitaka kwangu? Au nilizimisha macho yaliyokuwa ya mjane?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikiwa nimewanyima maskini haja zao, Au kama nimeyatia kiwi macho ya mwanamke mjane;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nimepata kumukatalia masikini mahitaji yake au kuwafanya wajane watumaini bure?