Job 31:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, nimekula chakula changu peke yangu, bila kuwaachia yatima nao wapate chochote?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kama nimekula chakula changu mwenyewe, bila kuwashirikisha yatima;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Au kama nimekula tonge langu peke yangu, Mayatima wasipate kulila;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, nimekula chakula changu peke yangu, bila kuwaachia yatima nao wapate chochote?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kama nimekula chakula changu mwenyewe, bila kuwashirikisha yatima;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kama nimekula chakula changu mwenyewe, bila kuwashirikisha yatima;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Au kama nimekula tonge langu peke yangu, Mayatima wasipate kulila;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, nimekula chakula changu peke yangu, bila kuwaachia yatima nao wapate chochote?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Au nililila tonge langu peke yangu, afiwaye na wazazi asile naye?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Au kama nimekula tonge langu peke yangu, Mayatima wasipate kulila;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nimekula chakula changu peke yangu, bila kuwaachia wayatima nao wapate kitu chochote?