Job 31:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
La! Tangu ujana wangu nimekuwa mlezi wao, tangu utoto wangu nimewaongoza wajane.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
lakini tangu ujana wangu nimemlea yatima kama ambavyo baba angefanya, nami tangu kuzaliwa kwangu nimewaongoza wajane:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
(La, tangu ujana wangu alikua pamoja nami kama kwa baba; Nami nimekuwa ni kiongozi cha mjane tangu tumbo la mamangu);
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
La! Tangu ujana wangu nimekuwa mlezi wao, tangu utoto wangu nimewaongoza wajane.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
lakini tangu ujana wangu nimemlea yatima kama ambavyo baba angefanya, nami tangu kuzaliwa kwangu nimewaongoza wajane:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
lakini tangu ujana wangu nimemlea yatima kama ambavyo baba angefanya, nami tangu kuzaliwa kwangu nimewaongoza wajane:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
(La, tangu ujana wangu alikuwa pamoja nami kama kwa baba; Nami nimekuwa ni kiongozi wa mjane tangu tumbo la mamangu);
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
La! Tangu ujana wangu nimekuwa mlezi wao, tangu utoto wangu nimewaongoza wajane.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sivyo, ila tangu ujana wangu alikulia kwangu kama kwa baba yake, toka hapo nilipotoka tumboni mwa mama yangu niliwaongoza wajane.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
(La, tangu ujana wangu alikua pamoja nami kama kwa baba; Nami nimekuwa ni kiongozi cha mjane tangu tumbo la mamangu);
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hapana! Tangu ujana wangu nimekuwa baba yao aliyewalea, tangu utoto wangu nimewaongoza wajane.