Job 31:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, nilimwona mtu anakufa kwa kukosa nguo, au maskini ambaye hana nguo ya kuvaa,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kama nilimwona yeyote akiteseka kwa kukosa nguo, au mtu mhitaji asiye na mavazi,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikiwa nimemwona mtu kuangamia kwa kukosa nguo, Au wahitaji kukosa mavazi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, nilimwona mtu anakufa kwa kukosa nguo, au maskini ambaye hana nguo ya kuvaa,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kama nilimwona ye yote akiteseka kwa kukosa nguo, au mtu mhitaji asiye na mavazi
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kama nilimwona yeyote akiteseka kwa kukosa nguo, au mtu mhitaji asiye na mavazi
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikiwa nimemwona mtu kuangamia kwa kukosa nguo, Au wahitaji kukosa mavazi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, nilimwona mtu anakufa kwa kukosa nguo, au maskini ambaye hana nguo ya kuvaa,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hapo nilipoona mtu, akifa kwa kukosa nguo, au maskini akikosa lo lote la kujifunika,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikiwa nimemwona mtu kuangamia kwa kukosa nguo, Au wahitaji kukosa mavazi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nilipoona mutu anakufa kwa kukosa nguo, au masikini ambaye hana nguo ya kuvaa,