Job 31:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Au je, nangojea nini kutoka kwa Mungu aliye juu? Mungu Mwenye Nguvu ameniwekea kitu gani?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kuwa fungu la mwanadamu ni lipi kutoka kwa Mungu juu, urithi wake kutoka juu kwa Mwenyezi?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwani sehemu ya Mungu itokayo juu ingekuwa nini, Na urithi wa Mwenyezi utokao juu?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Au je, nangojea nini kutoka kwa Mungu aliye juu? Mungu Mwenye Nguvu ameniwekea kitu gani?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kuwa fungu la mwanadamu ni nini kutoka kwa Mungu juu, nao urithi wake ni nini kutoka kwa Mungu Mwenye Nguvu Aliye juu!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kuwa fungu la mwanadamu ni gani kutoka kwa Mungu juu, urithi wake kutoka kwa Mungu Mwenye Nguvu Aliye juu?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwani sehemu ya Mungu itokayo juu ingekuwa nini, Na urithi wa Mwenyezi utokao juu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Au je, nangojea nini kutoka kwa Mungu aliye juu? Mungu Mwenye Nguvu ameniwekea kitu gani?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani Mungu huko juu angalinipatia nini? Yeye Mwenyezi angalitoa fungu gani mbinguni, liwe langu?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwani sehemu ya Mungu itokayo juu ingekuwa nini, Na urithi wa Mwenyezi utokao juu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Au, ninangojea nini kutoka kwa Mungu anayekuwa juu? Mungu Mwenye Uwezo ameniwekea kitu gani?