Job 31:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
bila kumpa joto kwa mavazi ya manyoya ya kondoo wangu naye akanitakia baraka za shukrani ya moyo?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ambaye wala moyo wake haukunibariki kwa kumpatia joto kwa mavazi ya manyoya ya kondoo wangu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikiwa viuno vyake havikunibarikia, Au kama hakupata moto kwa manyoya ya kondoo zangu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
bila kumpa joto kwa mavazi ya manyoya ya kondoo wangu naye akanitakia baraka za shukrani ya moyo?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ambaye wala moyo wake haukunibariki kwa kumpatia joto kwa mavazi ya manyoya ya kondoo zangu
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ambaye wala moyo wake haukunibariki kwa kumpatia joto kwa mavazi ya manyoya ya kondoo zangu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikiwa viuno vyake havikunibariki, Au kama hakupata moto kwa manyoya ya kondoo wangu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
bila kumpa joto kwa mavazi ya manyoya ya kondoo wangu naye akanitakia baraka za shukrani ya moyo?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
basi, viuno vyake havikunibariki, alipojipatia kijoto kwa nguo za nywele za kondoo wangu?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikiwa viuno vyake havikunibarikia, Au kama hakupata moto kwa manyoya ya kondoo zangu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
nilimupa joto kwa nguo za manyoya ya kondoo wangu naye akanitakia baraka za shukrani ya moyo.